TTCL

EQUITY

Wednesday, March 18, 2015

JUX:HEKALU LANGU LITASHEHENI STUDIO,BWAWA NA GYM


Nyumba ya Jux yenye ghorofa moja itakuwa na hadhi ya kistaa, kwa mujibu wake. 
Nyumba hiyo ya kifahari ambayo inaelekea kukamilika itakuwa na vitu ambavyo tumezoea kuviona kwenye mijengo ya wasanii wa Marekani.

Amepanga kuweka studio ya kurekodia muziki, gym kwaajili ya mazoezi na bwawa la kuogelea.

“Major plans for my humble abode – home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy,” ameandika Jux kwenye picha aliyoweka 

No comments:

Post a Comment