TTCL

EQUITY

Wednesday, March 18, 2015

Ukweli Kutoka Kwa DiamondPlutnumz Kuhusu Kufanyiwa Upasuaji, Afya Ya Mama Yake Na Ujauzito Wa Zari


Zimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz akiwa Hospitali akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines zilizoandikwa kwamba alinusurika kukatwa mguu.

Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu, kwa sasa amepona.

Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.

No comments:

Post a Comment