1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi
nchini ni Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo
linauzwa kwa thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million
150 za kibongo.
2: LADY JAYDEE
2: LADY JAYDEE
Anayefuata ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya
kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil
60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za
kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 .
3: AY
3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75
5: MRISHO MPOTO
5: MRISHO MPOTO
Namba tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto
anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.
6: JACKLINE WOLPER
6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.
7: WEMA SEPETU
7: WEMA SEPETU
Nafasi ya saba inashikiliwa na mwigizaji wema sepetu anayemiliki BMW 545
yenye thamani ya shilingi million 56, pamoja Na Nissan murrano
alilopewa Na aliyekuwa mchumba wake diamond lenye thamani ya shillingi
mil 36.
No comments:
Post a Comment