TTCL

EQUITY

Saturday, December 27, 2014

Story in the cordial:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu

TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu


Inasemekana kuwa mwigizaji  na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.

UPDATE: PATCHO MWAMBA akanusha kufumaniwa na kupigwa. Adai ni pombe.
Habari tulizopzipata kupitia mtandao wa GPL zinsema, MWIGIZAJI na mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba hivi punde ameibuka katika ofisi za mtandao huu na kukanusha vikali taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amefumaniwa akiwa na mke wa mtu na kupokea kipigo.

Akiongea na mtandao huo, Patcho amesema picha iiliyozagaa mitandaoni aliipost mwenyewe juzi baada ya kupata aleji ya macho ambapo baadaye ilisambaa mitandaoni ikidaiwa kuwa kapigwa baada ya fumanizi.

"Unajua nina aleji na pombe pamoja na vumbi, nikitumia tu pombe lazima macho yangu yavimbe
juzi nilikunywa Windhoek mbili na usiku hali yangu ikabadilika na macho kuvimba, baada ya tukio hilo niliamua kujipiga picha na kuipost katika mtandao wa Instagram na hapo ndipo balaa likazuka" Alisema Patcho akiwa katika ofisi za mtandao huu zilizopo Mwenge-Bamaga, Dar.

No comments:

Post a Comment