Mtoto wa muigizaji Will Smtih 'Jaden Smith' ametumia twitter kufahamisha
dunia kuwa ana nyimbo zinazoweza kutosha kwenye album mbili au tatu,
Jaden pia ametoa nafasi kwa msanii yeyote wa umri wake anayedhani
anaweza kurap kama yeye ajitokeze.
Jaden
Smith mpaka sasa ametoa kazi mpya kama Fast,Melancholy,Blue Ocean na Trophy.
No comments:
Post a Comment