Hongereni sana vijana wa Forest kwa mfano huo Mbeya yetu tunawapongeza sana tunaomba vijana wa kata nyingine igeni mfano huu siyo kila siku tuwategemee Halmashauri ya jiji waje watufanyie usafi |
Pia vijana hawa wanawashukuru wadau mbalimbali waliojitokeza kuwasaidia vifaa vya kufanyia kazi pamoja na maji ya kunywa |
Baadhi ya Vijana wa kata ya Foret wakiwa katika picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment