Alikua kwenye safari ya kwenda Mbeya kufanya show lakini
ikashindikana manake alibaki mikononi mwa polisi mpaka leo October 28
2014 alipopandishwa Mahakamani Kisutu Dar es salaam kwa mara ya kwanza
na kusomewa mashitaka matatu ambayo ni kukutwa na dawa na vifaa vya
kutayarishaji uvutaji wa dawa, kusafirisha dawa ya kulevya na utumiaji
wa dawa za kulevya.
No comments:
Post a Comment