TTCL

EQUITY

Saturday, October 4, 2014

KABLA HATUJAUMALIZA MWAKA TOA MAONI YAKO MAPEMAAAA... KWA KUPIGIA KURA KAULI MOJA WAPO

Kauli ipi ya kiongozi ilikuacha hoi?
1: Mtakula hata nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Basil Mramba)
2. Foleni Dar ni ishara ya maendeleo (Jakaya Mrisho Kikwete)
3. Acheni wivu wa kike (Pius Msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (John Pombe Magufuli)
5. Wabunge wa Dar mnafikiria kwa kutumia makalio (Didas Masaburi)
6. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (Steven Wasira)
7. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (Mustapha Mkulo)
8. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (Juma Nkamia)
9. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm (John Mnyika)
10. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Philipo Mulugo)
11. Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Philipo Mulugo)

No comments:

Post a Comment