Msanii
wa muziki Afande Sele ambaye miezi kadhaa iliyopita aliweka wazi nia
yake ya kuingia katika siasa na kugombea Ubunge, kwa sasa ndoto yake hii
kwa mujibu wake inategemea mchakato wa Katiba utakavyomalizika.
Afande Sele
Afande
Sele amesema kuwa, baada ya kuona taratibu zilivyo kwa mujibu wa Katiba
ambayo wananchi wataikubali, hapo ndipo na yeye atapata nguvu na
msimamo wenye uhakika katika malengo yake ya baadaye kisiasa.
No comments:
Post a Comment