MREMBO WA BONGO MUVI HUYOO AENDA ZAKE UINGEREZA, HII NI BAADA YA KUACHIA FILAMU YAKE MPYA,
Yuster
Nyakachara asema baada ya kumaliza kazi yake MAJUTO SI HASARA
anaenda uingereza kufatilia biashara zake, Wakati mashabiki wake
wakiendelea kufurahia kazi zake. Hii ni
katika harakati ya kusaka mshiko.
No comments:
Post a Comment