HEMEDY NA MASTAA WA ZAMBIA WAMALIZA KUSHOOT FILAMU YA ‘TANGLED MESS’
Msanii
wa filamu Hemedy Suleiman aka PHD amerejea Dar es Saalam hapo jana toka
Zambia alikoalikwa kutengeneza filamu iitwayo ‘Tangled Mess’.
Hemedy akiwa katika pozi na wenzakePamoja
na Hemedy, filamu hiyo ya kumuenzi Kanumba imehusisha wasanii
mbalimbali wa Zambia akiwemo Cassie Kabwita, mshiriki wa BBA 8, Sulu
Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa
Zambia DJ Yahya Kiba.
Hemedy akiwa Airport hapo jana akijerea Dar
No comments:
Post a Comment