Salma Jabu "Nisha" |
Ni miongoni kati ya mastaa wanaotisha kwenye Tasnia ya Filamu hapa bongo
Salma Jabu ‘Nisha’ aliyewahi kuingia kwenye game la muziki kwa kufuata
mkumbo.
‘Nisha’ now katia fora kwa kumaliza mwaka kishujaa bila ya kuwa na
mpenzi yeyote wala kushiriki tendo la ndoa ikiwa tangu alipoachana na
mpenzi wake ambaye hakupenda kumtaja jina ni kutokana na busy aliyokuwa
nayo mwaka 2013.
“Sikuweza kukaa na kufikiria suala la mapenzi kutokana na u-busy
niliokuwanao tangu nilipoachana na mpenzi wangu lakini busy yangu ya
kazi pia ndio ilionipa mafanikio niliyonayo hivyo namshukuru Mungu kwa
kunilinda mwaka mzima “- Nisha.
No comments:
Post a Comment