TTCL

EQUITY

Monday, November 18, 2013

TUKIO: SIMU YAFICHUWA MAOVU KWA NDOA YA KIBOSILE.. PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE ZASAMBA...!!! MKE ATENGWA NA FALIA HUKU TALAKA IKIMSUBIRI..! CHEKI PICHA ZENYEWE HAPA.. HII NI KWA (18+) TU



 
KWA mujibu wa vyanzo vya habari hii iliripotiwa katika website hii ya UNBOUNDERIES NEWS iliripotiwa na mtu wa karibu kabisa na Dada huyo kama ifuatavyo: mnamo tarehe 29 agost mwaka huu dada huyu ambaye jana lake limehifadhiwa alipoteza Simu yake aina ya
SAMSUNG ambayo ilikuwa imesheni picha likuki za utupu alizopigwa na hawara yake wakiwa katika malavidavi..! Za mwizi arobaini..!!!!! Baada ya simu kupotea na kuokotwa ndipo kila dhambi ilijiweka hadharani, Aliyeiokota alikuwa mtu wa karibu kabisa na familia hiyo kibaya zaidi aliiokota ikiwa na matatizo baada ya kudondoka hivyo ilimlazimu aipeleke kwa fundi kuirekebisha ili iwake.


Hapo ndipo balaa lilipojiri..
Mapicha yalisambaa kila kona hatimaye kumfikia muhusika mpaka sasa maelewano ndani yeye na mumewe hakuna muda wowote talaka inaweza kuunguruma mezani.

Familia pande zote mbili hazitaki hata kumuona kwani walikuwa wachamungu na hawakutegemea ufuska alioufanya binti huyo..!
Dada zetu kuweni makini na suala la picha za utupu katika Simu zenu kwani yaliyomkuta huyu mwenzenu anajuta.

No comments:

Post a Comment