Staili Za Mahaba Zinazoboresha Penzi
Kila siku katika maisha ya mahusiano manjonjo au ubunifu na mitindo huhitajika ili kuboresha (kunogesha) na kuimarisha penzi.
NI NGUMU NA HAIWEZEKANI wewe
MWANAUME au MWANAMKE utake kuboresha ndoa ile hali hutaki kupokea
mabadiliko ya vyakula vya mechi mnazoandaliana muwapo dimbani.
[Haya sasa twenzetu]>>
Wajua kitu penzi na mahaba ni kama utamanivyo kula milo uipendayo,
waweza pata wali kwa samaki lakini chai kwa bamia ndo roho yako
itaridhika...
Unaweza mara nyingine ukataka kula
ndizi ya kuiva au kupikwa hata kuchomwa pia, au tango likawa ndo duuh
mzuka kwako, wengine huvutiwa na vitumbua zaidi.... sasa yanini
usikitafute na ule kile ukitakachooo? Jiridhishe kwa kula moyo
ukipendacho.....
Njoooo.....! Hata kwa mapenzi ndivyo
ilivyo, tumia usiku wako tulivu kiivi... Mara nyingine mwanamke atataka
kulitazama ua lilotundikwa juu na katikati ya neti palipo na taa ya
rangi ya mahaba lakini mara nyingine ukitaka kuutazama ukuta na rangi
zake basi inama huku jamaa na mshumaa wake uliokolea mpe nafasi akuvizie
kwa nyuma yako na mautamu yaendeleee... huku nyoka akiingia na
kujihifadhi pangoni mwake kimywaaa na alaleeee tuliiiiii....! Hawa ni
wataalamu wa kilimo cha mbogamboga basi ni wataalam sana wao huita ni
wakati wa kuchuma mboga.
Sasa kwa wenye bahatai ya kukutana
na wafanya mazoezi hufurahia zaidi.... Utamjuaje mbabe wa mazoezi, we
mwambie ainue mguu wake hadi begani pako uone kama eneo la kwetu pazuri
liko pevu na ujaribu kujituma hapo basi mkifanikiwa kiendeleacho
msiniambieee mieee...... #Ninja staili hiyo....
Mengine tutaendelea endelea kufuatilia mtandao huu
No comments:
Post a Comment