Akihojiwa Rihanna, alisema''mapenzi huwa yana muda tu fulani, kwa kweli nilimpenda sana My boy Criss na hata pia nilikuwa kwenye wakati mgumu sana kipindi nilipo achana nae, naamini pia yeye kwake ilikuwa hivyo, ila naona jinsi muda unavyozidi kwenda ninamsahau , sasa hivi ninamchukulia kama kaka yangu tu au rafiki , yale mapenzi na maumivu sina tena,sina mampenzi nae tena''.
No comments:
Post a Comment