NDOA YA UCHI WA MNYAMA WENGINE WAFUNGIA CHINI YA BAHARI...
Josh Hughes na Shelley Davie wakifunga pingu za maisha uchi.
Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari.
****
Baadhi
ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya
kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya
ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na kuamua kufunga pingu za
maisha wakiwa uchi wa mnyama. Bi harusi Shelley Davie na Bwana harusi
Josh Hughes wa Melbourne, Australia wao walitoa kali zaidi pale
walipooana wakiwa uchi kabisa.
No comments:
Post a Comment