TTCL

EQUITY

Saturday, November 2, 2013

NIKICHEKO TU!!



ONESHA TABASAMU LAKO HAPA

Hii ni Taarifa ya Habari kutoka Wanawake TV,zifuatazo ni habari mnazopaswa kuzifahamu kama mlikuwa hamjui
Mwanaume yoyote aliyefall in Love ,yaani amezama dimbwini kwenye Mahaba yako akamaanisha,na kama kweli anakupenda,hawezi kuwa na aibu au kuacha kujifeel proud kwamba Ur His Girl akiwa mbele ya watu,marafiki au ndugu.
Mwanaume anayekupenda kwa dhati,kujishaua na kukuonyesha mbele ya watu bila hiyana ni jambo lisilozuilika,ni kama kipaji toka moyoni...Hawezi kuogopa wala kusikia aibu kwa sababu kwake wewe ni zaidi ya Tunu ya thamani ambayo anajisikia sifa kuimiliki..
Ukiona Mwanaume anayejishtukia kukutambulisha,iwe ni kwa marafiki zake au kwa ndugu...BONYEZA ALARM
Ukiona Mwanaume hana uhuru wa kuongozana na wewe mkitembea njiani anasuasua,ukimshika Kiuno Kimahaba hataki anagoma-goma anaona noma eti,aidha anabaki-baki nyuma,au anatangulia mbele kama kiberenge cha treni ili kidizaini msionekane mko pamoja...BONYEZA ALARM
Ukimwambia twende Movie mpenzi aidha atakwambia utangulie ukate tiketi,au atatangulia yeye mwenyewe ili tu msiongozane wote..BONYEZA ALARM
Ukimshika mkono in Public mtembee Kimahaba kama mlivyokuwa mnashikana mwanzoni mwa Penzi lenu vizuri tu kabla hajapewa kidude,atatafuta mbinu tu akuachie mkono kidizaini anazuga anashika simu halafu hakushiki tenaaaa-BONYEZA ALARM
The Glory of a Man is His Woman,Kama Hakufeel na Hawi Proud na wewe in anyway,My dear Shostito Dont Snooze the Alarm,BONYEZAAAA
Siku hizi ukisinzia kidogo tu LAZIMA UKATWE.
Kwa Hisani ya wanaume woooteeee tuliozama Dimbwini!

No comments:

Post a Comment