MAMA NA MWANAE WA MIEZI MINNE WACHOMWA MOTO HADI KUFA..!!
Katika hali isiyo ya kawaida Majeshi ya ugaidi huko Nigeria yaliweza
kuvamia kijiji na kusabisha mauaji makubwa, kati ya tukio ambalo
linasikitisha ni pale ambapo walimkamata mama mmoja na kumbaka na kisha
kumchoma moto yeye pamoja na mtoto wake mdogo mwenye umri wa miezi mi
nne tu.
No comments:
Post a Comment