DIVA WA CLOUDS FM NAE AVUNJA UKIMYA NA KUSEMA ANAMZIMIKIA SANA HUYU STAR
Kupitia mtandao wa instagram mtangazaji huyo alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika manano haya ” Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka … Hata mke wa ngapi poa @omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys? ”
Omar Borkan ni mwanaume mwenye asili ya kiarabu na anafanya shughuli za Photographining, mwandishi wa mashahiri na pia ni Actor kutoka Dubai, mwanaume huyu anamvuto kiasi cha kuwachanganya wakina dada wengi.
Kutokana na mvuto wake huo, Omar Borkan alishawahi kuponzwa na umvuto wake alionao kiasi cha kufikia kufukuzwa katika moja ya sherehe Riyadh na polisi wa kidini ya kiislam.
Na pia kaka huyu alipewa amri ya kuondoka kabisa nchini Saudi Arabia kwa kuwa atakuwaakiwachanganya wanawake kwa mvuto wake.
No comments:
Post a Comment