Huwezi kuamini lakini hivi ndivyo ilivyokuwa hapa wakati jamaa huyu alipokuwa akicheza na Simba wake pamoja na mapaka makubwa ......shuhudia hapa.
Huyu simba wala hana noma na huyu jamaa
hapa wanapiga story... "Dah nanjaa kweli hapa" utazani simba huyo
alikuwa anamwambia jamaa tajiri
Hii hatari " Shikamoo Boss" Ni kama simba huyu alikuwa akimwambia bosi wake
Hawa ni mapaka wakubwa sana wakiwa nyumbani kwa tajiri huyo hapa wanamla papa
Hebu Mcheki Cheater huyu akiwa anakula Good time na Bos wake wakiwa wanakula kipupwe huko baharini,,, Yataka moyo daha
Hilo sio toi ni Simba huyo
Hii michezoo hatareee dah wewe hapana chezea
Muda wa Kuoga sasa dah
Hug time
No comments:
Post a Comment