KUMFIKISHA MPENZI WAKO KILELENI HARAKA
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati
ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu
sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa
“ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.
Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya
mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2
waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu
wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”.
Natambua
kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile
kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya
mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba
hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni
“mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.
Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine
wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na
ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu
ambao ni wa kisimini.
Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe
mwanamke ufike kileleni kwa haraka ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi
chako. Kuna wanaume ambao ni “wajanja” na hawaoni tabu kutumia ndimi zao
kuwaridhisha wapenzi wao, wengine hutumia vidole.
(mada yetu itaendelea.. usikose kufuatilia)
No comments:
Post a Comment