Gazeti la MWANANCHI
Kuanzia Kesho ijumaa tarehe 11 Oktoba 2013-Tunareje kwa Kishindo.
“Machweo ya muungwana ni kusema asante sana.
Na kimya kingi kina mshindo mkuu.Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd,wamiliki na washapishaji wa gazeti lako ulipendalo la MWANANCHI,tunakushukuru sana msomaji wetu na umma wote kwa ujumla kwa kuwa nasi bega kwa bega katika mapito.Umesimama imara pamoja nasi,ukatutia nguvu sana.
Yale mamilioni ya shilingi utakayoshinda kila siku na magari katika PROMOSHENI YA CHOMOKA NA MWANACHI bado yapo na yataendelea kushindaniwa kama kawaida.
Usikose nakala ya Gazeti la MWANANCHI, kila siku.

Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications limited(MCL)Tido Mhando akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji leo
wa gazeti la Mwananchi
lililokuwa limefungiwa kwa wiki mbili.Kulia ni
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Denis Msacky na Meneja Masoko wa
MCL,Bernard Mukasa(kushoto).Picha na Fidelis Felix
MWANANCHI-FIKIRI TOFAUTI
MWANANCHI-FIKIRI TOFAUTI
No comments:
Post a Comment