Gari la Rs katika muonekano baada ya ajali.
WATU Watatu wamekufa papo hapo na wengine 24 wameruhiwa vibaya baada ya
Basi la Kampuni ya RS Bus Express linalofanya safari zake kutoka jijini
Dar es Salaam kwenda Bukoba kugongana na Lori la Mizingo la Kampuni ya
Dhaudho (Faw) katika kata ya Ngongwa Wilayani Kahama.
Ajali hiyo iliyotokea Katika eneo hilo ilihusisha Basi hilo lenye namba za usajili T 495 ATG pamoja na Lori lenye namba T 513 BNP ambalo likuwa likitokea Ushirombo Wilayani Bukombe mkoani Geita kwenda jijini Dar es Salaam majira ya saa 12.20 Asubuhi
Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama Emanueli Endrew alisema kuwa mapaka kufikia majira ya saa nne za Asubuhi tayari alikuwa amepokea jumla ya maiti tatu pamoja na majeruhi 24.
Alisema kuwa baadhi ya majiruhi wamevunjika miguu huku Wanne wakiwa mahututi na kulazisha kuwakimbiza katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza kwa matibabu baada ya hali zao kuwa mbaya zaidi.
Kaimu Mganga Mkuu huyo aliwataja waliofariki duni katika ajali hiyo kuwa ni Edwin Stephano, Hamidu Yusuph ambaye alikuwa Dereva wa Lori la Mizigo pamoja na Zuraia Tuli (50) na kuongeza kuwa waliopelekwa katika Hospitali ya Bugando ni Chabukana Raia wa Uganda, Makame Suliman ambaye ni Mwanajeshi, Fred Peter na Shafii Abdala.
Kwa mujibu wa Mashuhuda wa ajali walisema kuwa kiini cha ajali hiyo kuwa Dereva wa lorri la mizigo alikuwa akimkwepa mwendesha Baiskeli hali ambayo ilisababisha lori hilo kwenda upande ambao basi ilikuwapo.
Hata hivyo mmoja wa Majeruhi wa Ajali hiyo Johanes Ndyamukamu alisema kuwa kabla ya ajali hiyo Basi hilo likuwa lifukuzana na jingine la Sumry ambapo baada ya kulipita walikutana na Lori jingine ambalo lilikuwa limemkwepa mwendesha Baiskeli huyo na kuingia katika upande wao.
Hata hivyo Kaimu Maganga huyo wa Haspitali ya Wilaya ya Kahama Emanuel Endrew alisema kuwa taarifa zingine atazitoa baadaye ili kujua kama kuna majeruhi wengine ambao watapatiwa ruhusa baada ya kupatiwa matibabu.

MATUKIO KATIKA PICHA
Basi la RS katika muonekano wa ubavuni baada ya ajali.
Kidole gumba na kikanyagio cha abiria mmoja baada ya kukatika.
Mmoja wa mashuhuda akiwasaidia askari polisi kupima ajali.
Miguu ya abilia iliyokatika ikikusanywa na kuweka kwenye mfuko na askari polisi.
Askari Polisi wakilinda amani na kuhakikisha vibaka hawaibi mizigo
ya abiria,Mkono wa kulia ni askari wa kike akiwa amebeba mfuko uliojaa
miguu na viungo vingine vya abiria vilivyokatika.
Ubongo wa mmoja wa marehemu wa ajali hiyo ukiwa umemwagika ndani ya gari baada ya kichwa kupasuka.
Wauguzi wakiwa katika harakati ya kuokoa maisha ya majeruhi waliofikishwa katika hospitali ya wilaya ya kahama.
Mmoja wa majeruhi ambaye amekatika mguu akipata huduma kabla ya kupelekwa bugando.
Majeruhi aliyevunjika mguu akipata huduma ya kwanza.
Kijana kutoka kampuni ya Kahama yote ya mjini kahama akimfariji jamaa yake ambaye amepata ajali.
Mwonekano wa Roli ambalo limegongana uso kwa uso na basi la RS.
Hii ndiyo hali halisi ya mwonekano wa roli la kampuni ya Dhaudho baada ya ajali hiyo.
Wauguzi wa hospitali ya wilaya ya kahama wakiwa katika harakati ya kuokoa abiria ba kuwapa huduma ya kwanza.
Wananchi wakishudia ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment