TTCL

EQUITY

Wednesday, April 20, 2016

Unafahamu Mbunge wako amezungumza nini leo Bungeni? tazama hapa sasa (Video)

19
 
SIMU.TVMh.Lutengano aibana serikali juu ya ahadi yake ya kupeleka  magari ya kubebea wagonjwa katika hospitali za halmashauri ya Mufindi; https://youtu.be/0DB8S1lMD7c 
SIMU.TV Mh.Suleiman Jafo akijibu swali la Mh.Dkt Prudenciana juu ya upatikanaji wa maji safi na salama katika kata mbalimbali za Katavi; https://youtu.be/VjkXWysICrE
SIMU.TVSikiliza jinsi Mh.Martha Mlata alivyowachomea wakandarasi wanaochukua tenda za miradi mbalimbali ya serikali;https://youtu.be/EdRPb9hYss0  
SIMU.TV:  Mh. Mtabaliba aihoji serikali juu ya usitishwaji wa mkataba wa kutoa huduma kwa wazee kati ya halmashauri na hospitali ya Buhigwe; https://youtu.be/mhT7wnTO6II 
SIMU.TV:  Mh. Halima Mdee aitaka serikali kutoa taarifa kuhusu wapi imefikia katika kubaini gharama ya karo elekezi kwa shule binafsi nchini https://youtu.be/GXlTK7H_7eg
SIMU.TV Mh.Rweikiza aihoji serikali juu ya ujenzi wa chuo cha VETA katika mkoa wa Kagera kufuatia uhaba wa vyuo katika mkoa huo;https://youtu.be/n017qbV_71k 
SIMU.TV:  Mh.Hamadi Saalim aihoji serikali juu ya mpango wake wa kusaidia wavuvi wadogo ili kukuza na kuendeleza sekta ya uvuvi nchini;  https://youtu.be/k6xj2vyB49o
SIMU.TVSikiliza jinsi serikali ilivyoweka mkakati ya kukabiliana na mauwaji ya albino, vikongwe na suala la kujichukulia sheria mkononi; https://youtu.be/vlvFTt92gSo
SIMU.TV Mh. Hamida Abdala aihoji serikali juu ya utekelezaji wa sera ya kuendeleza  viwanda na namna vijana wanavyonufaika na sera hiyo;  https://youtu.be/jxq3ERelzXo
SIMU.TVMh.Chihuahua mbunge wa Masasi aibana serikali juu ya upanuzi wa mradi wa maji wa Bwinji mkoani Lindi;https://youtu.be/1iAMM-CwmI4

No comments:

Post a Comment