TTCL

EQUITY

Saturday, April 16, 2016

Pierre Nkurunziza amtumia ujumbe Rais Magufuli, awataka wakimbizi warejee Burundi


Rais wa Burundi, Mh. Pierre Nkurunziza ametuma ujumbe  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli juu ya hali inayoendelea nchini humo huku akiwataka Raia wa Burundi ambao walikimbilia Tanzania kurejea kwani hali ni shwari.
(Soma taarifa zaidi ya Ikulu hapa chini).
AgRqfHDAL3BFy5wXU7QHwEgdQfsSUG6ixgOp6kQgIWti

No comments:

Post a Comment