TTCL

EQUITY

Wednesday, March 2, 2016

Halima Mdee na wenzie,wasomewa shitaka la kujeruhi

Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne wasomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa wa Dar es salaam, katika mahakama ya Kisutu DSM
Akiwa na wenzake wanne Mbunge wa Kawe Halima Mdee, wame kana mashitaka na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa kiasi cha Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana baada ya kuweza kujidhamini

No comments:

Post a Comment