TTCL

EQUITY

Thursday, February 18, 2016

WAZIRI LUKUVU: UWEPO UFANISI KATIKA UGAWAJI ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi WILLIAM LUKUVI amewataka wahusika wote watakaoshiriki katika mradi utakaowezesha umilikishaji ardhi kwa wananchi wafanye hivyo kwa ufanisi ili watanzania wanufaike na rasilimali hiyo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
 
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa umilikishaji ardhi jijini DSM, Waziri LUKUVI amesema kukamilika kwa mradi huo kutasaidia kupunguza migogoro ya ardhi nchini.
Mradi huo kwa sasa umeanza kutekelezwa katika wilaya za KILOMBERO na ULANGA mkoani MOROGORO.

No comments:

Post a Comment