
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za
wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo
mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu. (Picha: Ikulu)
No comments:
Post a Comment