Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Mbarak Abdulwakil akiongea
na Wafanyakazi katika kikao cha Menejimenti Ofisini hapo.
Naibu Katibu Mkuu Ngosi Mwihava akiongea na Menejimenti ya Ofisi ya
Makamu wa Rais na kumkaribisha Katibu Mkuu kuzungumza na Menejimenti
hiyo.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria kikao
cha Menejimenti wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) katika kikao
kilichofanyika Ofisini hapo.
No comments:
Post a Comment