
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole
Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe wake Bi Leticia Nyerere
aliyefariki huko nchini Marekani. Rais alikwenda nyumbani kwa Baba wa
Taifa Msasani Dar es salaam kumpa pole Mama nyerere.

Rais
Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa
Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia
Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment