TTCL

EQUITY

Friday, January 15, 2016

Halima Mdee ashinda kesi ya uchaguzi

mdee 2
 Mbunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee leo ameshinda kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa dhidi yake na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Kippi Warioba.

No comments:

Post a Comment