TTCL

EQUITY

Wednesday, December 16, 2015

Nicki Minaj kafunguka kuhusu pete ya almasi kidoleni,kuishi nyumba moja na Meek Mil.

nicki-minaj-bb38-fea-2015-billboard-650
Nicki Minaj ameshtua mashabiki wake December 9 kwa kuweka pete kubwa ya almasi aliyopewa na Meek Mil.Nicki Minaj ’33’ alivyoweka pete hio iliambatana na ujumbe wa kuikubali pete hio kutoka kwa mpenzi wake Meek Mill ’28’ huku pakiwa na uvumi kuwa niwachumba sasa.
Hizi ndio picha za pete hio

nicki-billboard-coverminaj 2
Rapa Nicki Minaj amefanyiwa mahojiano na jarida la Billboard kuhusu mambo tofauti kwenye maisha hivi karibuni.
Nicki Minaj akiongelea kuhamia mjini Los Angeles na mpenzi wake Meek Mill amesema ” Nimependa kuhamia huko sababu na imani ni pazuri na nimeongea na Beyonce ambaye anaishi huko na ameniambia ni pazuri na mambo ni raisi kufanya ukiwa LA, yeye anajiskia powa hata kwenda na mtoto wake shuleni ” .
Kuhusu pete ya almasi aliyopewa na Meek Mill, Minaj anasema ” hatujawa mtu na mchumba wake ila aliniahidi atanipa pete tatu kabla hatujaowana na hii ni ya pili, birthday yangu inakuja so najua atanipa yatatu kama alivyofanya mwaka jana “.
Nicki Minaj amesema ataanza kurekodi mixtape kama zamani sababu hajatoa mixtape kwa zaidi ya miaka kadha sasa.
minaj 1  minaj 3

No comments:

Post a Comment