TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Uwezo wa kuigiza wa Iggy Azalea umeonekana kwenye video hii ya Trouble.

jhud-iggy
Baada ya kupotea zaidi ya mwezi kwenye mitandao ya kijamii, rapa Iggy Azalea ametoa video mpya “Trouble” kutoka kwenye album yake Reclassified.  Iggy amejiunga na mshindi wa tuzo ya Oscar  Jennifer Hudson kutengeneza stori yenye mvuto kwenye video hii.
Iggy anaonekana akimsaidia mpenzi wake kuiba pesa banki  na baada ya kukamatwa Iggy anaanza kufanya mishe za kujaribu kumtorosha.

No comments:

Post a Comment