TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.
Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki 1
Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.
Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki 2
Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji... nivizuri kama ukija kivingine kwaajili ya kuwapa ladha murua wapenzi na mashabiki wa kazi zako.

No comments:

Post a Comment