TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Juhudi za kulinda vifaru nchini Kenya

Mwana mfalme wa Uingereza Prince William yuko ziarani China anawasilisha wito kwa Utawala wa Uchina kusitisha uwindaji haramu wa wanyama pori wakiwemo vifaru na ndovu na pia kusitisha biashara haramu ya pembe za wanyama hao.

Wataalam wa uhifadhi wa wanyama pori wameonya kwamba vifaru wamo katika hatari ya kuisha, ikiwa juhudi za kuwazuia wawindaji haramu wanaouza pembe hizo hazitatekelezwa kikamilifu.
Mbuga ya wanyama ya Lewa kaskazini mwa Kenya, ni moja ya maeneo ambapo juhudi za kupambana na uwindaji haramu zinaonekana kufanikiwa.
Paul Nabiswa anaarifu kuhusu mikakati ya ulinzi na elimu inayotumika kwa umma kuwalinda vifaru.

No comments:

Post a Comment