TTCL

EQUITY

Saturday, December 6, 2014

KUTANA na Nagris Mohammed akiwa katika ‘corporate life’

KUTANA na Nagris Mohammed akiwa katika ‘corporate life’

Miss tanzania namba tatu (2003/04) ambae kwasasa yupo kwenye tasina ya BONGO MOVIE, Nagris Mohammed mbali na kuwa ni mke wa mtu na ni mama wa mtoto mmoja, nimuajiliwa kwenye taassi ya mambo ya fedha.
Kwamara ya kwanza Nagris alionekana kwenye filamu iitwayo YELLOW BANANA, akiwa ni miongoni mwa waigizaji wakuu,filamu hiyo iliwajumuisha wakali kama Blandina Chagula  aka Johari na Vicent Kigosi aka Ray.

Baada yaku SHINE humo ndani  ndio ukawa mwanzo wa kuigiza movie nyingi zaidi zikiwemo Woman Of Principles na Magic House na zingine nyingi.

Mbali na kuwa muigizaji wa Bongo Movies Nagris ameajiliwa na anafanya kazi kwenye Benki ya CRDB kitengo cha Microfinance Power. Huenda  hii inamfanya kuwa BIZE sana na hivyo kupelekea kutofanya kazi nyingi sana kwenye upande wa Bongo Movie.

Hii pia ni changamoto kwa waigizaji wengine wa Bongo Movie, katika kupambana na maisha haya ni vizuri wakawa na shughuli nyingine ya kufanya ili kukuza KEKI zao.
Tazama hapo chini baadhi ya picha Nagris akiwa KWA OFISI
KUTANA na Nagris Mohammed akiwa katika ‘corporate life’ 2KUTANA na Nagris Mohammed akiwa katika ‘corporate life’ 1