TTCL

EQUITY

Saturday, December 6, 2014

Hizi Picha,Ali Kiba Yuko Afrika Kusini Anafanya Hii Video

Kupitia kurasa yake ya Instagram msanii Ali Kiba ametufahamisha kuwa yuko South Africa mjini Cape Town akifanya video. Hajaweka wazi ni video ya wimbo upi ila inawezekana kuwa video ya  ‘Mwana’ sababu ndio wimbo unaofanya vizuri  kwa sasa.
kiba 1 kiba 2 kiba 3

No comments:

Post a Comment