TTCL

EQUITY

Sunday, November 30, 2014

Post Ya Diamond Platnumz Kuhusu Kuimba Kwenye #WeAreTheWorldAfrica

diamond new
Diamond alikuwa South Africa hivi karibuni kwenye jumba la Big Brother na kwenye Tuzo za Channel O za Video za 2014. Kabla ya tuzo hizo Diamond aliweka post ikiwa na ujumbe kuwa anawakilisha Tanzania kwenye wimbo wa Africa All Star wa #WeAreTheWorldAfrica.
diamond project
diamond project 2