TTCL

EQUITY

Sunday, November 30, 2014

Picha ya pamoja: Diamond, Zari, Bab Tale, Fela, Madam Ritha, na Salama Kwenye Tuzo Za Channel O Na Tuzo Alizoshinda

diamond 2
Jumamosi Ya Nov  29 2014 Watanzania na wapenzi wa muziki wa bongo fleva walifuatilia kwa karibu sana tuzo za Video za Channel O zilizofanyika Johannesburg South Africa. Mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz alikuwa akiwania tuzo nne kwenye vipengele tofauti.

Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo tatu kati ya 4alizokuwa anawania. Tuzo alizoshinda ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hizi ni picha za Diamond akiwa na mama yake mzazi, manager wake Bab Tale na Said Fela na Zari kutoka Uganda.
      diamond  4diamond  6diamond  8diamond  9diamond  10diamond  11diamond  13diamond 1diamond 3diamond  19           diamond  20
Kiukweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya kwenye Ramani ya mziki wa Africa…Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi… Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz #TeaMMondi toka instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika, wakiongozwa na kamanda langu @kifesi … Nawashkuruni sana sana

No comments:

Post a Comment