TTCL

EQUITY

Friday, November 7, 2014

KUTANA Na VIGOGO WA FILM ZA KISWAHILI TOTO NA DEVOTA WA UJAHIBUNI

10632627_700118980077220_6556065415164150064_n

10632627_700118980077220_6556065415164150064_n1975207_10202789208878885_1299796762_n (1)
Selling my soul , Ni Tamthilia kali inayohusu vita kati ya jini aliempenda mwanadamu, lakini mwanadamu huyo ana mpenzi wake ambaye ni polisi sasa vita vingi vitatokea kati ya Agent CAMILA na JINI ASHUU kugombea penzi la DIDA JE NANI ATASHINDA NA KITU GANI KITAMFANYA CAMILA AUZE NAFSI YAKE KWA SHETANI. Hivi na visa vingi STAY TUNE.

No comments:

Post a Comment