TTCL

EQUITY

Thursday, October 30, 2014

Picha,Ney Wa Mitego Na Siwema Wapata Mtoto Wa Kiume.

Rapper Nay Wa Mitego na mchumba wake Siwema wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume tarehe 28/10/2014 ambaye ni siku ya kuzaliwa ya mama mzazi wa Ney Wa Mitego.

No comments:

Post a Comment