TTCL

EQUITY

Wednesday, October 29, 2014

Break news....

Hii ndiyo Hiace inavyoonekana mara baada ya kupata ajali

Wananchi wakiangalia Hiace hiyo iliyopata ajali

Majeruhi wa ajali hiyo wakiwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidi

Wananchi wakiuangalia mwili wa aliyefariki katika ajali hiyo (uliofunikwa kwa kitenge katikati ya barabara)

Wananchi wakienda kushuhudia ajali hiyo na kutoa msaada kwa majeruhi.

Ajali mbaya ya gari imetokea hii leo katika eneo la KNCU barabara ya Kibosho Kirima Moshi Kilimanjaro, baada ya gari la abiria (hiace) kupata ajali huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi
Kwa mujibu wa mwanahabari wetu aliyefika eneo hilo amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni na abiria kadhaa wamejeruhiwa na kukumbizwa hospitali kwa matibabu zaidi huku abiria mmoja akihisiwa kufariki dunia katika ajali hiyo
Hizi ni taarifa za awali mwana habari wetu anaendelea kufuatilia taarifa za ajali hiyo ili uzipate kwa uhakika, endelea kuwa nasi.

No comments:

Post a Comment