TTCL

EQUITY

Tuesday, October 28, 2014

Hatimaye Filamu ya MAPENZI YA MUNGU Imeingia Rasmi Sokoni Leo..Ndani Yupo Lulu, Linah na Mama Kanumba.

Baada ya kutoka na movie ya Foolish Age na Family curse....Elizabeth Michael aka LULU amekuja na movie yake mpya inayoitwa Mapenz ya Mungu akiwa na Lina Sanga aka Lina na Mama Kanumba...Leo jumatatu imewekwa sokoni....hii si ya kukosa pata nakala yako halisi..

No comments:

Post a Comment