Kwa mujibu wa kamusi ya uingereza maarufu kama Oxford dictionary,neno kujifunza ni mapokeo ya ujuzi au elimu baada ya uzoefu ama mafunzo fulani.Hivyo ni bayana ya mambo tuonayo na kusikia mashuleni hadi majumbani mwetu.
Kupokea
maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya
kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya
kujifunza, na hizi pia ni miongoni mwa kanuni/ mbinu kadhaa za kufanikiwa kusoma;
1.KUJIFUNZA KWA KUONA,KUSOMA MAANDISHI(visual leaner)
2.KUJIFUNZA KWA KUSIKIA SAUTI(Auditory learner)
3.KUJIFUNZA KWA VITENDO NA MAZOEZI
1.Utayari
2.Mazoezi(exercise)
3.Hisia za kutafakari
4.Kukazia maarifa katika uhalisia
5.Marudio












No comments:
Post a Comment