TTCL

EQUITY

Tuesday, September 23, 2014

IMEKUA NI SIMANZI NA MAJONZI KWA MSANII WA MIONDOKO YA BONGO FLAVA....

Pole sana.... Witnesz Mwaijaga

Msanii wa muziki wa miondoko ya bongo fleva nchini Witnesz Mwaijage ambaye ambaye hivi karibuni alkikuwa mja mzito na alitarajia kujifungua imekuwa bahati mbaya kwake kutokana na kupoteza watoto watarajiwa hao ambao walikuwa ni mapacha.

msanii wa bongofleva Witnesz Mwaijaga
Japokuwa msanii huyu hakupenda kuongelea zaidi juu ya tukio hili la kusikitisha lakini alijitahidi kuongea na eNewz kutokana na kupoteza watoto hao.

msanii wa muziki Tanzania Witnesz Mwaijaga

No comments:

Post a Comment