TTCL

EQUITY

Wednesday, April 2, 2014

WATANZANIA WAISHIO NJE WAZIDI KUFANYA VIZURI KWENYE FASHION SHOW, NA HIVI NDIVYO FLAVIANA MATATA ALIVYO TOKELEZEA

Flaviana Matata ameendelea kutumika kama model wa brand ya Marekani ya Kate Spade Saturday, ambayo bidhaa zake ni pamoja na skirt, top, jeans za kike, mikoti na mikoba. Hizi ni picha za Flavy akitangaza nguo za KSS









No comments:

Post a Comment