TTCL

EQUITY

Wednesday, April 2, 2014

WAKATI UNAPOONAFAHARI NA RAHA KWAKO MWINGINE INAMKERA.....!!

Hii inashangaza sana, na mama huyu ameamua kufunguka  kutokana na hali hii inayomtatiza kwa sababu kweli anahitaji msaada.Hili ni chozi lake... 
Mimi ni nesi pia ni mama mwenye mtoto na ni mke wa mtu. 
Huwa nalowa na wakati mwengine kuja kabisa 
wakati ninapokuwa namnyonyesha mtoto wangu mwenye miezi 7 ambaye ni wa kwanza kumzaa. Anaponyonya maziwa yangu... gosh! Nini kinaendelea kwangu? Je kuna wamama wengine ambao wanahisia kama za kwangu? Nini naweza kufanya kuifanya hali hii isiendelee ?

No comments:

Post a Comment