TTCL

EQUITY

Monday, December 16, 2013

HIVI NI VIJIMAMBO KWELI KWELI..!! HATA KAMA NDIO UFUNDI NDIO MTU UBONG'OE HIVI..!!

http://www.theclicktz.com/
 
Wapita njia wengi walijiuliza kweli huyu mtu kaharibikiwa na gari au labda ana mpango fulani kwani huyu dada alibong'o hapo kwa muda mrefu sana huku akijifanya yuko busy kweli kweli na ufundi.

No comments:

Post a Comment