TTCL

EQUITY

Tuesday, November 26, 2013

Inasikitisha, Mwanaume avuliwa nguo Tegeta baada ya kufumaniwa

afumaniwa
VITUKO vya mtaani: Njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Hussein Shaban(35) amefumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Sakata hilo lilitokea kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi.
Baada ya kukamatwa ugoni mwanaume huyo inadaiwa kuwa watu wenye hasira kali walimvua nguo na kumtembeza uchi.

No comments:

Post a Comment