TTCL

EQUITY

Sunday, November 24, 2013

HUYU NDIYE MZEE ALIYEPIGA SAXAPHONE KWENYE NUMBER ONE YA DIAMOND PLATNUMZ

http://www.theclicktz.com/
http://www.theclicktz.com/
http://www.theclicktz.com/
http://www.theclicktz.com/ 
Anafahamika kama Mzee King Maru,mwenyewe
 anapenda kujiita,mtu gani huyu..ni mmoja ya wazee
 ninaowaheshimu sana kwenye tasnia yetu ya mziki..ana
 husika zaidi na upigaji wsa chombo cha
 muziki ambacho naamini ndiyo chombo kigumu zaidi
 kukitumia,SAXAPHONE ama mdomo wa bata.
.kama hufahamu amefanya kazi
 na wasanii wengi wa Bongo fleva ambapo,SAXAPHONE yake inasikika
Barnaba,Rinnah na wengineo
na kama ulikuwa hufahamu zaidi
Mzee Maru amefanya UNYAMA wake  kwenye nyimbo
wa Ommy Dimpoz,tupogo
na SAXAPHONE unayoiskia kwenye wimbo 
  wa Number one ni mzee Maru mwenyewe...tegemea 
kuskia akifanya yake ndani ya Number one 2 remix na Davido

No comments:

Post a Comment